GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Daah nilikua nataka kuandika hivi hiviMkalitizame
πππ vijana mnafanya nini nyuma ya mama, badala muwe mstari wa mbele kumlinda mamaMama chapa kazi. Tulio wengi tuko nyuma yako.
Wahuni unawaletea ustaarabu??!! Labda kama huwajuiTunatofautiana, wengine ustaarabu ni jadi yao na sio ujanja kuvunjiana heshima kwa kutumia lugha isiyo na staha
Hivyo ukiona mtu kafanya uteuzi wa maneno kabla ya kuzungumza ilhali ana uwezo wa kufanya atakalo, mheshimu
Sio kwamba ni mpuuzi, ila amejua ya kuwa dunia ni mapito na mkuu ni Mungu tu ila sie binadamu wote tutarejea mavumbini ama katika hali tuliyokuwa nayo awali
Hivyo sio vyema kumtusi Mamba kabla haujavuka mto
Kizimkazi mkubwa wee1. Naomba
2. Nadhani
3. Sijui
4. Jitahidini
5. Sikubaliani
6. Hela ipo
7. Nasikitika
Ukikutana na Mtu yoyote anasema Maneno haya tajwa hapa Juu jua tu kuwa hana Akili ( Upeo mdogo ), Mvivu Mvivu hata katika Kuongea na Kutembea na yuko hapo aliko kwa bahati mbaya mno.