Umehitimu mwaka gani mkuu?Kuwash-kujiweka/kuangalia karibu na/madem wapitao karibu na shuleni au shuleni. Hiyo ni Nsumba sec
Piga mluzi=chai bila kitafunwa
Hapo akimaanisha nini?Kuna dogo aliitwa staff room na walimu akuulizwa kwanini amempiga mwenzake akasema "nimemkuta anatombesha kufuli kwenye tranka langu" yani anaona hiyo ni lugha sahihi kabisa.
Bado unaandika "xul" badala ya "School" hadi sasa .. aisee!!Pora-uji
Mapande-mihogo ya kuchemsha
Nyauuuu!-muda wa uji
(paka aliwah kuingia kwenye pipa la uji)
Ahahahaha hala kibiti boyz HIGH XUL
Akimaanisha kuwa jamaa aliku anajaribu kufungua kufuli ya kwenye sanduku lake kwa funguo ambayo sio yake.Hapo akimaanisha nini?
Vimbuzi-maandaziPuchu- punyeto ,Moshi Technician
Haha, duh.Akimaanisha kuwa jamaa aliku anajaribu kufungua kufuli ya kwenye sanduku lake kwa funguo ambayo sio yake.
I remember ifunda technical skulls and efficiencyNyuka -uji
Tope -uji usiowekwa sukari
Kipute - msichana mrembo
Kipori -msichana mwenye sura mbaya
Kwa mama -mgahawani
Busati - ukoko wa wali
Kitomari - andazi
Kulazwa - kukosa nauli
Ifunda?Kupuliza_kunywa polar bila vitafunwa,au katara.
NJOSS moja hiyo mkuu.Ifunda?