Maneno maarufu secondary za bweni

Pumbu erosion, fungus zilikua zinakula pumbu balaa
 
Pumbu erosion- ugonjwa wa pumbu


Kupiga msuli -kusoma sana

Kutoboa hozoni -kukesha


Bondi -mahusiano


Mkeka - kibomu au karatasi ya majibu


Kupuliza - uji bila vitafuna


Pora- ni uji


Isomer- ugali au kande unazihifadhi unapiga kesho au ukitoka prepo


Kudoji - kutega



Mnyonyo - suruali za modo za kubana


Wajomba- kunguni/chawa


Kimemo - kabarua kafup ka ujumbe wa mahaba


Ng'ora - ni simu


Mabomu -maandazi yetu ya magendo


Nyali- wali


Kuna hizi dagaa zakupikwa za kimagendo nishasahau jina


Kula kideo - kuchungulia mademu wakioga shule ilikuwa na chaka kubwa nyuma ya mabwen ya kike na kiume sometimes watoto wa kike wanaoga nje ya mabafu yao kwahyo tukikatiza chaka tunatafuta pozi tunakula kideo bila kuonekana


Formation/kijiji - hapo tunatengeneza sitting plan kipind cha paper kuibiana tunakaa karibu marafiki


Kukwangua vocha - kukuna mapumbu


Kwenda dubai- kupitia kamba na kuanua nguo na kupita nayo (wizi)

Double double /kupiga chala- kurudia msos Mara mbili kwenye foleni ukipona we ni legendary ukidakwa ni aibu na fedhea


Wanangu wa PGM. ma blood ,classmates,mabaharia .shule × salute kwenu


Pcm pia nawasalimia wana


PCB,CBG,CBA,CBN piteni kimya kimya




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…