Maneno maarufu ya Kiswahili yaliyotokana na kukosewa kwa matamshi. Charan Singh - Cherehani

GETA=GEITA

wenyeji wa maeneo hayo waliamini madini yanaua(GETA),wazungu wakitamka geta ikawa ina sound geita
 
KAWE(kwa mwamposa) ni COW WAY.

Ng'ombe zinakusanyika kuchinjwa ila hazijui.
 
Neno "cherahani" ni toleo la Kiswahili la neno "charahani", ambalo limeingia katika lugha ya Kiswahili kutoka lugha za Kiajemi. Asili ya neno hili ina mizizi yake katika maneno ya Kiajemi چرخ, charakh, "gurudumu" na خان, khan "nyumba"; kwa Kiingereza "sewing machine") ni mashine ya kushonea vitu kama kitambaa, nguo, viatu au mifuko.
 
Dala ni Ile coin ya shilling Tano usidanganye. Makonda wakawa wanasema Dala, Dala, Dala - ikaitwa daladala
 
Mengi hapa ni hadithi za vijiweni, just kwa kutumia common sense.
 
Ngumi aina ya uppercut washambuzi wa kibongo na mabondia wote wanaita Ambakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…