K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Sep 28, 2026 #81 econonist said: CDF wa ajabu sana. Wakati watu wanamtegemea aseme jambo Oct 29-30, akaamka na kuwapiga mikwara wananchi na kuwatishia. Na kuacha wauae kama kuku. Click to expand... Katika hali ya kawaida, huyu sasa asingekuwa anajitokeza mbele kusema chochote. Angekaa kimya tu kwa sababu alikubali kutumiwa kufanya uovu. Dhamira yake ni lazima itakuwa inamshtaki mwenyewe.
econonist said: CDF wa ajabu sana. Wakati watu wanamtegemea aseme jambo Oct 29-30, akaamka na kuwapiga mikwara wananchi na kuwatishia. Na kuacha wauae kama kuku. Click to expand... Katika hali ya kawaida, huyu sasa asingekuwa anajitokeza mbele kusema chochote. Angekaa kimya tu kwa sababu alikubali kutumiwa kufanya uovu. Dhamira yake ni lazima itakuwa inamshtaki mwenyewe.
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Sep 28, 2026 #82 Ila kauli yake inaukweli ndani yake
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 29, 2026 Thread starter #83 Andromeda Galaxy said: Ila kauli yake inaukweli ndani yake Click to expand... https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DUng1Fujs/
Andromeda Galaxy said: Ila kauli yake inaukweli ndani yake Click to expand... https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DUng1Fujs/
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 29, 2026 Thread starter #84 https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1GWd4J6G5R/
Chwichwi JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 2,197 Reaction score 1,899 Sep 29, 2026 #85 Chacha yuko sahihi kama JW inasimama na wananchi yale maushenzi ya oktoba 29 yasingelitokea.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Sep 29, 2026 Thread starter #86 https://www.facebook.com/ View: https://www.facebook.com/share/v/1DhXoutiGV/