Maneno Magumu kwenye katiba inayopendekezwa

Maneno Magumu kwenye katiba inayopendekezwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
  1. Hatazi.................?
  2. ...........................
 
kwa kuwa hakuna mchanhgiaji wacha nijichangie mwenyewe
 
nimeangalia kwenye kamusi ya kiswahili sanifu hili neno limeandikwa hataza na si hatazi sijuwa wajumbe wa BMK walilitoa wapi
 
na maana yake kwa kiingereza ni Patent Right kumaanisha kibali maalum kinachotoloewa na serikali kwa ubunifu fulani kutumika
 
Neno lingine gumu ni kutweza nalo nimeona ni kudhalilisha
 
Back
Top Bottom