MANENO MAPYA YANAYOTARAJIA KUINGIZWA KWENYEATUMIZI YA KISWAHILI

MANENO MAPYA YANAYOTARAJIA KUINGIZWA KWENYEATUMIZI YA KISWAHILI

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Haya ni baadhi ya maneno yatakayoingia kwenye matumizi ya kiswahili huku yakiwa na maana mtambuka
1. Baharia
2. Niguse ninuke
Mnaweza ongeza na mengine
 
Nasikia huyu jamaa wa NIGUSE NINUKE hajaomba msamaha.Bila shaka atakuwa baharia mzoefu huyu
 
Nadhani baharia ni neno fasaha la kiswahili na linapatikana kwenye kamusi yetu.
 
Back
Top Bottom