kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,871 Reaction score 2,762 Sep 13, 2019 #1 Haya ni baadhi ya maneno yatakayoingia kwenye matumizi ya kiswahili huku yakiwa na maana mtambuka 1. Baharia 2. Niguse ninuke Mnaweza ongeza na mengine
Haya ni baadhi ya maneno yatakayoingia kwenye matumizi ya kiswahili huku yakiwa na maana mtambuka 1. Baharia 2. Niguse ninuke Mnaweza ongeza na mengine
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,045 Reaction score 28,216 Sep 13, 2019 #2 Nasikia huyu jamaa wa NIGUSE NINUKE hajaomba msamaha.Bila shaka atakuwa baharia mzoefu huyu
kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,871 Reaction score 2,762 Sep 13, 2019 Thread starter #3 Perfectz said: Nasikia huyu jamaa wa NIGUSE NINUKE hajaomba msamaha.Bila shaka atakuwa baharia mzoefu huyu Click to expand... Anampango wa kuukana ubaharia na kunukia
Perfectz said: Nasikia huyu jamaa wa NIGUSE NINUKE hajaomba msamaha.Bila shaka atakuwa baharia mzoefu huyu Click to expand... Anampango wa kuukana ubaharia na kunukia
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Sep 13, 2019 #4 Nadhani baharia ni neno fasaha la kiswahili na linapatikana kwenye kamusi yetu.
Tanayzer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,010 Reaction score 7,360 Sep 14, 2019 #5 hivi fundi Maili nayo itakosekana Kweli?
kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,871 Reaction score 2,762 Sep 14, 2019 Thread starter #6 Mla Bata said: Nadhani baharia ni neno fasaha la kiswahili na linapatikana kwenye kamusi yetu. Click to expand... Lakini limeongezewa maana zaidi ya kwenye kamusi
Mla Bata said: Nadhani baharia ni neno fasaha la kiswahili na linapatikana kwenye kamusi yetu. Click to expand... Lakini limeongezewa maana zaidi ya kwenye kamusi
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,955 Reaction score 8,120 Sep 14, 2019 #7 ok