Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Ninapendekeza kuanzisha hii thread itakayoweka rekodi ya maneno 'ovyo ovyo' yaliyotamkwa na viongozi wetu...
Jamani feel free kujazia humu, ikiwezekana tuweke hata date.
Nyie andikeni mnavyotaka, hata kwenye TV onyesheni, kwanza watu wa huku TV hawana kwa vile hata umeme hawana! Hizo TV zenu watazitazamia wapi. Na nyie wenye magazeti kwanza huku hayafiki na hata yakifika wananchi hawana uwezo wa kuyanunua, watasomea wapi hizo fitina zenu. Hayo mnayoandika yanabakia kuwa yenu na wamiliki wa vyombo vyenu, Alifoka Mkuchika.