Maneno mliyamaliza Yanga, Wazee walichukia

Kama laana ya feisal na. Mgunda basi wawabariki makolo nao wafike fainali
Sisi tumefika level za juu kwenye mashindano ya juu.

Hivi unaelewa kwenye yale mashindano ambayo sisi tumetolewa kwa penati hatua ya robo fainali malengo yenu kwenye yale mashindano unayajua?

Malengo yenu mliyojiwekea yalikuwa kufika hatua ya makundi

Then pooooof something exploded mkajikuta shirikisho
 
Nyie mli laaniwa na nani kila mwaka mnaishia pale pale?
Malengo yenu ilikuwa mfike group stage za Club Bingwa

Kwanini mlijikadilia level za chini kabisa za kimafanikio kuwa ndio mafanikio yenu makubwa?

Jibu ni kwasababu mlijua hamna msuli wa kutunisha Club Bingwa mkafika hatua za juu kama ambavyo sisi tumekuwa tunafanya.
 
andazi ni bora kuliko mgunda,afu tuonesheni medali km kweli nyie mlicheza fainali...wambie hao wazee kwamba Yanga wanashindaga kokote so wapeleke mvua na kule algeria la sivyo kombe tunarudi nalo hapa na hawatufanyi lolote
Ukitaka medali nenda kwa Kasongo Athuman, Feruzi Telu, Michael Paul
 
andazi ni bora kuliko mgunda,afu tuonesheni medali km kweli nyie mlicheza fainali...wambie hao wazee kwamba Yanga wanashindaga kokote so wapeleke mvua na kule algeria la sivyo kombe tunarudi nalo hapa na hawatufanyi lolote
Medali hii hapa mwana uto
 
Kama laana ya feisal na. Mgunda basi wawabariki makolo nao wafike fainali
Hivi hawa makolo fainali yao wanacheza lini

Sisi wananchi si wa kubishana na timu ya kuishia robo fainali kila mwaka.
Haya nyie waarabu wa Tanzania mtaendelea kushangilia adui wa kaka yenu hadi lini kuweni na adabu vinginevyo tutawatia adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…