Kwa kawaida, kauli za viongozi wa juu wakati mwingine huibua mzaha, kejeli na kuwa maarufu kutokana na kuvumishwa na media mbalimbali.
Ni wazi kuwa kauli ya Rais na watu wengne maarufu husababisha maneno hayao kuwa maarufu hata kama mwanzo yalikuwa ya kawaida.
Katika awamu ya JK kwa mfano baadhi ya maneno maarufu ni kama vile DOWANS, EPA, HELA YA MBOGA, KIHEREHERE, BIG RESULT, DIVISHENI ZERO, VIJISENTI N.K
Utawala wa awamu ya 5 nao hauko nyuma ambapo baadhi ya kauli zimeleta kejeli, mzaha na kuwa maarufu.
Kwa mfano, maneno kama:
1. KUPIMA MKOJO
2. BASHITE
3. MAKINIKIA
3. KUTUMBUA MAJIPU
4. KUTAFUTA KIKI KWA PIKIPIKI
5. WAPUMBAVU
6. MALOFA
7. BUKU 7
8. NYUMBU
9. KUBADILI GIA ANGANI
10. WANAUME
11. KUTAKATISHA FEDHA
12.
13.
Wadau, mnaweza kuöngeza mengine hapo chini.