Maneno ninayoongea namshwapo usingizini

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
Habari wana jukwaa bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada mara nyingi niamshwapo ninapokuwa katika usingizi mkali huwa naongea maneno ya ajabu tena tofauti na maswali au shida ambayo unaniambia.

Sometimes kama nimeamshwa kwa kupigiwa simu mtu alienipigia simu hukata simu nadhani ni kwa sababu ya kutokuelewana inapofika wakati usingizi umekata huwa na fadhaika sana kwani huwa nakumbuka tukio lilivyo kuwa jinsi nilivyo kuwa naongea vaisivesa.

hivi hii hali ni mimi tu au wengine wapo hivyo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…