Maneno nliyojifunza miaka ya 80 toka kwa bamdogo aliporudi toka ulaya

Hayawani na kerbuu unusu nalo hilo tusi lilitumiwa sana kipindi hicho.
 
hahahaa hii topic very funny....mie niliwahi kuona mtu kila analoulizwa lazima atie 'ofkozii' tehe tehe
kwetu kuna ticha mstaafu alikuwa anaitwa mwl anyway, maana kila sentensi ilikuwa lazima aanze nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…