Maneno ya Azizi Ki baada ya kupoteza mechi dhidi ya vipers

Maneno ya Azizi Ki baada ya kupoteza mechi dhidi ya vipers

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Mdogo wangu mtangazaji, najua mmecheka sana mimi kukandwa

Naomba utambue kua kukandwa ni jambo la kawaida sana kwenye mchezo wa soka

Mdogo wangu mtangazaji, kama unadhani mchezo wa soka ni mwepesi weka kipaza sauti uingie dimbani uone kazi yake

Mdogo wangu mtangazaji, nilikuambia unaweza ukafanya safari yako vizuri kwenda Arusha ukaishia kwampalange

Mwisho akamalizia kwa kuwaambia mashabiki hii ndio yanga yanga yanga timu kazi, yeyote atakaye kuja mbele yetu lazima apasuke

Yanga mbele nyuma daima mwiko

Byuit byuuut
 
Yaani ike kuchomeka kichwa bao hili hapa
🤣🤣🤣🤣 Wee jamaa una matani ukweli🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani jamaa shambulizi lao la kwanza kitu imoooo.
Ila yule mtoa pass ana akili mingi sana....kasubiria just a split second akijua bangala atajaribu kunasa pass yeye kapitisha tobo...absolute genius!!!!
 
Yaani ike kuchomeka kichwa bao hili hapa
Ulipaswa uuoize sekunde ya ngapi

Kwa mujibu wa kronometa ya mwamuzi Ramadhan kayoko ilikua ni takriban sekunde ya 20 ya mchezo
 
🤣🤣🤣🤣 Wee jamaa una matani ukweli🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani jamaa shambulizi lao la kwanza kitu imoooo.
Ila yule mtoa pass ana akili mingi sana....kasubiria just a split second akijua bangala atajaribu kunasa pass yeye kapitisha tobo...absolute genius!!!!
Tobo wakatobolewa utopwinyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani ike kuchomeka kichwa bao hili hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipers walikua na ukameee sana, wee kuchomeka tyuuh waarabu hawa hapa, afu ndaniiiiiiiiiiiiiiiii

Byuti byuti.
 
Kashoneni vitenge Jumatatu siku yenu.
Shougaaaa angu, katawaze kwanza, shahawa za bobosi unazipendaa sana??? Au zinakutekenyua mnooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
 
Back
Top Bottom