Mdogo wangu mtangazaji, najua mmecheka sana mimi kukandwa
Naomba utambue kua kukandwa ni jambo la kawaida sana kwenye mchezo wa soka
Mdogo wangu mtangazaji, kama unadhani mchezo wa soka ni mwepesi weka kipaza sauti uingie dimbani uone kazi yake
Mdogo wangu mtangazaji, nilikuambia unaweza ukafanya safari yako vizuri kwenda Arusha ukaishia kwampalange
Mwisho akamalizia kwa kuwaambia mashabiki hii ndio yanga yanga yanga timu kazi, yeyote atakaye kuja mbele yetu lazima apasuke
Yanga mbele nyuma daima mwiko
Byuit byuuut