July 14, 2016
Nairobi, Kenya
Balozi wa Ufaransa asema uhusiano wa Kenya na Ufaransa unazidi kukua kila siku na mwana-diplomasia huyo anasema uhusiano wa nchi hizo mbili ni wa ''pande mbili zilizo sawa'' (sawa bin sawa) siyo wa mfadhili na mfadhiliwa
Aelezea kuhusu siku muhimu ya Taifa la Ufaransa Bastille Day pia kumekuweko ongezeko la Wa-Kenya kupata viza ya kuingia Ufaransa kwa asilimia 46% na idadi ya wanafunzi wa-Kenya wanaosoma Ufaransa imeongezeka kwa asilimia 57%, pia maendeleo ya Kenya baada ya ugatuzi n.k
French ambassador to Kenya Mr Rémi Maréchaux has said that the French and Kenya partnership has immensely grown over the years.
The ambassador who was addressing French and Kenyan residents at the Alliance Francaise in Nyali, Mombasa County during the Bastille Day celebrations said that the Kenya and France ties was a more a partner than donor relationship.
Source: DailyNation