Maneno ya beki wa horoya kuhusu chama

Angalau hawa wamekuwa wakweli.
Miaka michache iliyopita, Kocha Ibenge akiwa na AS Vita walisema wamenyunyuziwa madawa vyumbani uwanjani, Haji Manara na uto wenzake wakawajaza upepo. Sasa ukweli unaanza kuonekana
 
Tumewapa homework, tutaongea na CAF ili mwakani Yanga wakutane na Horoya kuwapima kama wameelewa somo [emoji1787][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…