Maneno ya Dogo Janja kuhusu picha za uchi za Irene Uwoya

Hahahahahaaa,Njemba zimakuja mbio kuona picha za uchi.Baada ya kuona hola,zinatoa povu tu.
 
Habari imekaa kimbea mbea... Yani bila uchi ni Story ya kutunga... Hatuoni kitu hapa
 
Ila tuache matani huyu mwanamama yupo vizuri asee
 
Ha ha ha watu wamejaa sumu wanataka uchi... Hahahaha cant stop reading comments.
 
Hahahahaha watu wamesala wanataka uchiii lol [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…