Maneno ya Haji Manara kwa Hasani Kessy

makalango

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
451
Reaction score
254
msemaji wa simba ameandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram "unakumbuka maneno ya huyu dogo alivyotudhalilisha mwambie this is simba na benchi ndio makazi yake ya kudumu"
chanzo muungwana blogu.
 
Kosa kubwa sana kumshambulia mchezaji kwa simba hakuna wanao kaa benchi
 
msemaji wa simba ameandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram "unakumbuka maneno ya huyu dogo alivyotudhalilisha mwambie this is simba na benchi ndio makazi yake ya kudumu"
chanzo muungwana blogu.
Maneno ya kwenye kanga [emoji23] mkumbushe yy ni mwana mume
 
Simba ni kama arsenal,wachezaji wanaoachana na hizi timu huwa wanapata laana na kuanza kupotea, mfano singano,kessi, okwi, nyosso, kaseja, na wengineo. Kwa upande wa arsenal kuna nasri, adebayor, Alex song na wengine mtaongezea.
 
haji manara sahizi sijui kakutwa na nini.
mara ya kwanza tulisema ni Jerry Muro ana maneno machafu sana. ila huyu jamaa kila kukicha atao maneno machafu.
mkutano wa jana muda mwingi aliutumia kuiyongelea Yanga badala ya Simba.

Nafikiri na Tff huyu jamaa nae wamwangalie
 
Huyo Jenny Muro na Manara nani ana maneno machafu zaidi ya mwenzake.!?
 
Huyo Manara ana matatizo ya akili.
Kuhusu Tambwe anasemaje?
Je Yondani?

Au bado hawajalipwa zile million 50?
 
Huyo Manara ana matatizo ya akili.
Kuhusu Tambwe anasemaje?
Je Yondani?

Au bado hawajalipwa zile million 50?
Hiyo account siyo ya manara halisi bali mhuni mmoja tu kafungua anajiita manara

Manara alisema hatumii social network
 
Simba ni kama arsenal,wachezaji wanaoachana na hizi timu huwa wanapata laana na kuanza kupotea, mfano singano,kessi, okwi, nyosso, kaseja, na wengineo. Kwa upande wa arsenal kuna nasri, adebayor, Alex song na wengine mtaongezea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila waksepa wanaonja kwanza ndoo a.k.a ubingwa alaf wanapotea as u said
 
Simba ni kama arsenal,wachezaji wanaoachana na hizi timu huwa wanapata laana na kuanza kupotea, mfano singano,kessi, okwi, nyosso, kaseja, na wengineo. Kwa upande wa arsenal kuna nasri, adebayor, Alex song na wengine mtaongezea.
Mbona yondan husemi ?
 
Kama wewe mfatiliaji mzuri wa mpira angalia moto anao uwasha nasri hispania
 
Je tunayajua maneno machafu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…