Maneno ya hekima kwa leo

Maneno ya hekima kwa leo

third eye chakra

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2023
Posts
713
Reaction score
1,745
Pasipo kitu ndio upo, pasipo kitu ndio chanzo cha kila kitu. Hivyo basi, endelea kuwa hadi usiwe kitu chochote kwa kuwa katika si chochote ndio kila kitu kipo hapo.

Hivyo ukiweza kuwa hapo utaweza kuvutia kila kitu ambacho wewe wahitaji kua.

Nikutakie juma3 njema.

By Dr Asili kwanza.
WhatsApp 0743840595.
 

Attachments

  • FB_IMG_17260803235719121.jpg
    FB_IMG_17260803235719121.jpg
    364.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom