Maneno ya kikenya yanayotumika huku tanzania na tunayatumia kama kiswahili

Maneno ya kikenya yanayotumika huku tanzania na tunayatumia kama kiswahili

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
1.Luninga----TV
2.Chokoraa-----Mtoto wa mtaani
3.Manzi-------Demu(Girlfriend)
4.Chapaaa-----Fedha
5.Chang'aa-----Gongo
6.Keroro------Pombe
7..........

Ongezea na wewe

Nawasilisha
 
Mi naona ni zile misemo za hakunaga ni kama zinatokea kwa jirani...
 
1.Luninga----TV
2.Chokoraa-----Mtoto wa mtaani
3.Manzi-------Demu(Girlfriend)
4.Chapaaa-----Fedha
5.Chang'aa-----Gongo
6.Keroro------Pombe
7..........

Ongezea na wewe

Nawasilisha

Wasemaje Joo!

Yule Manzi

Huna hata ndulululu (common in AR)

Kwani ile kitu mi aje?


Mdosi
 
Back
Top Bottom