King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
mazee uko poa.....
Mi naona ni zile misemo za hakunaga ni kama zinatokea kwa jirani...
mazee uko poa.....
Mazee yuko powa. Umwachie angalau fifty Bob, akapande matatu.
Yeah 50 bob is enough for me
1.Luninga----TV
2.Chokoraa-----Mtoto wa mtaani
3.Manzi-------Demu(Girlfriend)
4.Chapaaa-----Fedha
5.Chang'aa-----Gongo
6.Keroro------Pombe
7..........
Ongezea na wewe
Nawasilisha