Hii Lugha yetu ni mixer kama kande.Msela (Kizulu) mwizi
Fana (Kizulu) fanana
Mubadala (kiarabu) mbadala
Ila kwenye mpira kila kitu ni kiingereza kuanzia goalkeeper hadi linesman.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Asilimia kubwa ya maneno hapa yana asili ya kiarabu kuliko kihindiKISWAHILI.
Hela -- German HELLA.
Lakini -- kihindi LAKIN
bunduki-- kihindi BANDUKI.
Basi--kihindi BASI.
Mushkeli-- kihindi MUSHKEL
Thamani-- kihindi THAMAN
Mahaba-- kihindi MOHABAT
Dunia -- kihindi DUNIA.
bahari-- kihindi BAHARI.
kubali-- kihindi KABUL
rejea-- kihindi AGEA.
Kismati-- kihindi KISMAT.
Kanuni--hindi KANOON.
wakati-- MULAKAT.
Tayari-- Hindi TAYARI.
bibi-- Hindi MKE.
Baadae-- kihindi BAADME.
Shukran-- Hindi SHUKRIE.
Gari-- Hindi GARI.
Pagawa--hindi PAGAL.
Pesa-- Hindi PESA.
Sura--suraj.
VichokochokoVichokochoko.
Hapa ndo mnapo niudhi sana tena kichefu chefu!! kwa nini sisi tuige na si wao walituiga sisi?? wkt walitufuata huku Africa?!! kifupi tu waswahili tulitawala Misri ya kale yoote! tena miaka kibao tu!! Uajemi tulitawala sie! wkt huo ulaya haijulikani wazungu wanaishi mapangoni!!Kutohoa ni kitendo cha kuchukua baadhi ya maneno kutoka lugha za kigeni{lugha jirani}na kuongeza maneno hayo katika lugha kusika.
Matumizi ya meneno hayo yanaweza yakafanana kati ya kimaandishi au kimatamshi au vyote kwa pamoja.
Wabobezi wa lugha wanadai kiswahili hakijitoshelezi kwa kuwa imeiga maneno mengi kutoka lugha za kigeni.
Mfano; Kiingereza, Office_Ofisi, Kiswahili.