Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
"Tumeumia kumkosa Aucho lakini hakuna namna, ni suala la kikanuni. Tumezungumza nae na atakuwa na timu kwenye mechi zote mbili kwa ajili ya kuwahamasisha kupata matokeo mazuri" Kocha Mkuu Nasreddine Nabi.
"Tuna bahati kuwa na Mayele kwenye kikosi chetu, ni mshambuliaji wa daraja la juu Afrika. Uzoefu wake pamoja na wachezaji wengine utakuwa msaada mkubwa kwetu kwenye hatua hii ya Fainali" Kocha Mkuu Nasreddine Nabi.