Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Fainali bila kuroga inawezekanaHivi kesho kuna fainali...hahahahhahaahha
Bila kutoka wapi na Yanga hamtaki kuvaa jezi yenu ya njano ambayo ndo home kit? Uchawi tuuJinsi ya kufika fainali bila kurogaView attachment 2636631
Kwa hio tuna vaa jezi ya nani?Bila kutoka wapi na Yanga hamtaki kuvaa jezi yenu ya njano ambayo ndo home kit? Uchawi tuu
Hao Makolokolo wanapaswa kujibiwa baada ya kutwaa ubingwa, sasa hivi unajitafutia mikosi na kujipotezea muda tu.Kwa hio tuna vaa jezi ya nani?
Kinyume chake!!!!!!!!!!All the best
Mnavaa away third kit nyie manyani fc.Kwa hio tuna vaa jezi ya nani?
Nani alikwama hio ni away kit?Mnavaa away third kit nyie manyani fc.
Nani alikwama hio ni away kit?
All the worst! 😂😂 simba watapata tabu sanaKinyume chake!!!!!!!!!!
Ushindwe!!Kinyume chake!!!!!!!!!!
Nashukuru SIJASHINDWAA!Ushindwe!!
Sawa!!! Niname"maindi" ujue!Nashukuru SIJASHINDWAA!