Maneno ya Maalim Seif 2000!

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
4,526
Reaction score
1,540
Naam, kila lisemwalo lahifadhiwa kwa kumbukumbu. Ikiwa mtazamo na msimamo wa Maalim Sefu ni kuvunja Muungano pindi akiwa Rais wa Zanzibar, je CUF ya Lipumba na haya ya Muafaka yana maana gani?

Maneno haya ni ya mwaka 2000, je bado Maalim Sefu anashikilia msimamo wake?Je Watanganyika Mnasemaje?

http://www.time.com/time/europe/magazine/2000/1030/zanzibar.html
 
JAMANI MANENO HAYO....!MDOMO ULIPONZA KICHWA...!
 
Au ndo maana muafaka haufikiwi nini?.

Muafaka ulifikiwa na moja ya masharti yalikuwa ni CUF kuyatambua mapinduzi ya 1964 na kuheshimu Muungano na walikubali masharti yote mawili.

That said, Maalim sentence is tactically vague- amesema ataona kama kuna umuhimu wa kuwemo kwenye muungano. Hajatamka kwamba atavunja.

Huu ni msimamo wa vyama vyote vinavyoamini katika serikali tatu ikiwemo CHADEMA.

Ukweli ni kuwa hakuna chama ambacho kinaweza kuvunja Muungano; sheria ya vyama vya siasa inatamka kwamba sharti moja wapo la chama kusajiliwa ni kukubali kwamba hakitavunja muungano na kuwa na sura ya pande mbili. Sasa suala la vyama ni suala la kimuungano. Leo hii CUF ikishinda Zanzibar, ikitangaza kutoutambua Muungano de jure kinakuwa kimeshajifuta kama chama na kupoteza uhalali wa kuwepo kwake madarakani.

Labda yafanyike mapinduzi 2010; mapinduzi ya umma! Kwetu si wa-jang'ombe twasema, hewala.

Asha
 
Kumbe ndo maana mwenzetu huyu ananyimwa urais? Lakini hivi kweli itakuwaje Z'bar na bara kukawa na marais kutoka vyama tofauti, kuna plan yoyote kwa hali kama hii zaidi ya "kumzuia" mgombea mmojawapo kushinda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…