Maneno ya Mademu na maana zake halisi!

Mtoa mada...binafsi naona ni mingi ni misemo isiyo rasmi. Labda tupate chanzo cha huu utafiti..
 
mleta uzi usijesababisha watu wakawapige vibuti wapenzi wao wakike...
hayo maneno nislogan tu za mjini ..ijpokuwa kuna slogan. nyingine hazipaswi kutamkwa na wanawake wanaojielewa mbele ya wapenzi wenye malengo nao ykimaisha..

in short mimi huwa sivutiwi na mwanamke mwenye maneno makali ..na ambaye nikisirani ..
naweza nika quit mahusiano nae hata kama sijamla hata romance ..sitakagi pressure zakujitakia mimi
 
Kila msemo hapo ulikuja na kipindi chake, kwahyo ilikuwa ikitumiwa pindi ilipojitokeza mf. Nampa papa .. Bahati mbaya cjui nzuri ht wanaume wanatumia. Kesho utuletee na maelezo juu ya wanaume wanaotumia maneno hayo
 
Namba zote humu ndani zipo Hakuna iliyopungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…