Maneno ya Mademu na maana zake halisi!

Wewe unashika usemi upi hapo
 
Umepiga mwake mkuu ila nashukuru my wife to be amekwepa mishare hapo
 
Ha ha ha ha ha namba 11, 12 na 14 kuna watu nawafahamu wana hzo tabia ila kwenye makande sio kwel
 
Namba 9.


Nimeshaacha kukopesha maana huwa hawalipagi halaf wanaomba mikopo midogo
 


Ungeweka na hii kwa huyo demu wa 5.....mpenda kusikiliza na kucheza bongo fleva huku akirusha vidole juu.
 
Hahaaaa. Nilijua tu huko hayafika[emoji12] .

Ila inabidi nikukaribishe rafiki sio kwamba na wewe upate uyatumie bali angalau uone watu wanavyoyatumia.
Hebu nipe mualiko na mimi nije kuona mjini na watu wake.
 
Pombe bingwa kwa kulegeza viungo vya mwili, yaani kulewa kwake ni kulegea kwanzi macho hadi vidole.
ONYO: Haishauriwi kutumiwa na wanaume.
Hahaa...kwanini onyo hapo??
 
Inaonekana unawajulia mabinti.demu wangu anapenda kutumia Akuu' nitafsirie ili nifananishe na tabia zake
 
Jua maana na tafsiri kabla ya kutumia maneno haya ya kimapokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…