Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazima mfahamu ya kuwa CCM ndio tumaini la watanzania,ndio chama chenye kuaminika na kuaminiwa na mamilioni ya watanzania,ndio chama kilichobeba matumaini na hatima ya watanzania na Taifa letu,ndio mahali pekee ambako unaweza kukaa na kuishi kwa amani na matumaini.
CCM inabakia kuwa chama pekee chenye uchungu mkubwa na Maisha ya watanzania,ndio chama chenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na likabakia kutamalaki kwa amani na utulivu.
Tofauti na vyama kama CHADEMA vinaendeshwa utafikiri gari linalorudi livasi pasipo saiti mila, CHADEMA ni kama mkusanyiko wa wasaka Tonge na wachumia tumbo.ndio maana hawajawahi kuwa na misimamo wala kuaminika kwa watanzania.kwa sababu ni wanasiasa walaghai , waongo,wanafiki,wazushi,ndumila kuwili.watakachokiongea leo utashangaa kesho tena wanakipinga au kushindwa kukitekeleza. Rejea namna walivyomuimba Hayati Edward lowassa kuwa ni Fisadi lakini wakabadili Gia angani 2015.
Sasa Tazama kauli ya Mwenye kigoda wa Muda wote wa CHADEMA Mh Mbowe ambayo hadi leo hajaitimiza mpaka leo badala yake ameendelea kung'ang'ania madarakani na kuendesha chama kama Sacco's au kikoba.Abaendelea kuona kuwa ni yeye pekee mwenye haki na wajibu wa kuendelea kuongoza CHADEMA.
Ndio maana wenye akili Timamu na wanaojitambua vyema wanaendelea kumkimbia na kumuacha.halafu yeye kwa kuficha udhaifu wake anatupia lawama wengine.yaani badala ya kutambua kuwa yeye ndio chanzo,anajipa upofu wa kujifanya haoni. Chama kila uchwao .
CHADEMA kinaendelea kudumaa,kudhoofika,kupoteza morali, ushawishi,nguvu na umoja wenye nguvu.chama kinaendelea kukimbiwa kila uchwao. Yeye ameng'ang'ana tu ilimradi maslahi yake yanalindwa kwa mkono wa ubabe.ameua demokrasia,umoja,nguvu na kila kitu kilichoipatia CHADEMA nguvu na ushawishi kwa watanzania.
Na bado maana huo ni mwanzo tu na mvua za rasha rasha tu maana yajayo yatawabubujisha machozi na kuwaacha midomo wazi CHADEMA. Yatakuwa ni mapigo juu ya mapigo,chama kinakwenda kuwekwa juu ya mawe na kubakia kama screpa ya gari korongoni. Watu wamechoshwa na ubabe ,udikteta ,ufisadi wa pesa za chama kama zile za Join the chain na ubabaishaji unaofanywa na Mbowe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.