Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Poleni na kazi wakuu, hapa mtaani nilipopanga kuna mke wa mtu, kidogo hua tunapenda kupiga story, za hapa na pale na kiukweli anapenda sana kampani yangu, yeye na mme wake wana miaka 8 kwenye ndoa.
huyu mwanamke ukimwangalia huwezi jua kama ana mtoto au aliwai kuoelewa ata kipindi nmeamia mtaa huu niliwai kumpga swaga na kiumri amenipita kama miaka mitano, ila tukisimama ni kama mdogo wangu ni binti mrembo sana na anasoma chuo x.
Leo tukaanzisha story kuhusu single mother, akasema anatamani saba kua single mother, na akasema hafurahii ndoa yake ata kidogo, angejua asingefunga ndoa, anajua mi sina mpenzi sana sana anajua nina wadada wa kupita tu.
akasema ana uwezi wa kuamua kuachika na akawa na mji wake, na asiolewe tena akaja kwangu nkampa ata watoto wawili akatulia na mara nyingi hua anakuja getoni kwangu anakaa kama dk.5 alafu anaondoka kuogopa wambea japo tunaheshimiana sana.
nkamwambia ila wewe si mke wa mtu, unaweza kuchepuka kweli, akasema siwezi labda nianze leo, akanambia kwani wanaochepuka na mimi tuna tofauti gani, nkachela kidogo, kumla siwezi namuogopa sana mke wa mtu japo ni binti mdogo, mweupe ana shape na mrembo haswa.
ila staacha kumpa kampani, wewe mwanaume unaemnyanganya simu mkro ety unafatilia simu sjui watu wanaomtongoza, mkeo hapendi ila utapelekea akusaliti maana unamkera kweli.
#korona inaua #fuata taratibu #stay safe
Sent using Jamii Forums mobile app