Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 May 14, 2017 #2 Idadi ya watu Duniani ni kubwa mno. Inabidi watu wapungue ili tuishi vizuri... Ongezeko la idadi ya watu linawanufaisha ma capitalist (wafanya biashara wakubwa) tu lakini linaongeza mzigo kwa serikali katika kutoa huduma muhimu...
Idadi ya watu Duniani ni kubwa mno. Inabidi watu wapungue ili tuishi vizuri... Ongezeko la idadi ya watu linawanufaisha ma capitalist (wafanya biashara wakubwa) tu lakini linaongeza mzigo kwa serikali katika kutoa huduma muhimu...