Maneno ya Mwigamba

Kuwa mstaraabu. Kwani huwezi kupinga hoja bila kutumia lugha isiyo ya kiungwana? Tofauti yenu na MATAGA ipi hapo?
 
Angekuwa ana ustaarabu asingeonyesha kufurahia kudhoofika kwa Chadema huku nchi ikiendelea kufanya udhalimu na dhuluma za kutisha dhidi ya raia, vyombo vya habari na vyama vya siasa.

Kuwa mstaraabu. Kwani huwezi kupinga hoja bila kutumia lugha isiyo ya kiungwana? Tofauti yenu na MATAGA ipi hapo?
 
Mbowe ni gaidi au sio gaidi.?
 
Reactions: BAK
Unazeeka na njaa yako "P", Teuzi zimefika ukomo hujapata chochote.
Chadema ipo mioyoni mwa wengi kuliko unavyofikiri.
Uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi unaweza kudhirisha nguvu ya Chadema.
Ni swala la muda tu.
 
Pascal Mayalla haya maneno yako kuna watu hawatayaelewa, lakini nadhani watakuja kukuelewa huku muda umeenda.
Siku zote hawa jamaa zangu ni wazito sana kuelewa ila hata wawe wazito vipi, wasipoelewa kwa ushauri, wataeleweshwa kwa matokeo, mfano mzuri ni hali ya sasa ya Chadema Bungeni, watu wa ushauri wa bure, tuliwashauri kitambo.
Walinibishia, kilichotokea uchaguzi wa 2020, sote tunakijua, na sasa Chadema are leaning the hard way.
P
 
Mkuu hivi kweli ulitegemea pasikali, aje na mambo tofauti na hayo aliyo yaandika?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].hilo litatokea siku akipoteza tumaini la kulamba teuzi
 
Reactions: BAK
"Chadema are leaning the hard way" ...

Ni vyema tukaendelea kutumia kiswahili '....lugha yetu ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…