Maneno ya Nabi kuelekea mchezo wao wa nusu fainali

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
KOCHA NASREDDINE NABI:

“Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini tusiruhusu bao hapa kwetu lakini ushindi wowote utatupa akili kubwa kule kwao

“Tunakwenda kucheza na timu ambayo imekuwa ikitafuta njia nzuri ya kushinda kwao kuanzia ugenini, tumeona kosa ambalo Pyramids walilifanya kwao na matokeo yake wakaadhibiwa ugenini, tunacheza na timu isiyotabirika na wanaocheza kwa nidhamu kubwa.

“Nimewaambia wachezaji wangu kama kuna mchezo tunatakiwa kuonyesha ukomavu wa nidhamu ya mchezo ni huu wa nyumbani, lakini ushindi wowote utatusaidia uwe wa bao moja au zaidi kitu bora kwetu ni kuwanyima njia ya kuanzia kwao.”
 
Na yeye aache yale makosa yake ya kiufundi. Kumuacha nje beki bora kabisa kwa sasa, na kisiki kama Ibrahimu Bacca, ni utani!

Kumuanzisha mchezaji mchanga kama Clement Mzize kwenye mechi ngumu na zinazohitaji maamuzi ya wqchezaji wakubwa, ni utani! Kuwaanzisha wachezaji wasiotabirika kwenye mechi ngumu kama hiyo, bado itakuwa ni utani.

All in all, naitakia Yanga ushindi mnono.
 
Naunga mkono hoja
 
Yule ana taaluma ya ukocha UEFA Pro A, usimfundishe kazi. Pia ana wasaidizi wabobevu wanaomshauri.
 
Na yeye aache yale makosa yake ya kiufundi. Kumuacha nje beki bora kabisa kwa sasa, na kisiki kama Ibrahimu Bacca, ni utani!

Kumuanzisha mchezaji mchanga kama Clement Mzize kwenye mechi ngumu na zinazohitaji maamuzi ya wqchezaji wakubwa, ni utani! Kuwaanzisha wachezaji wasiotabirika kwenye mechi ngumu kama hiyo, bado itakuwa ni utani.

All in all, naitakia Yanga ushindi mnono.
Hii ngoma itachezewa wapi mkuu, kama hutojali
 
Na yeye aache yale makosa yake ya kiufundi. Kumuacha nje beki bora kabisa kwa sasa, na kisiki kama Ibrahimu Bacca, ni utani!

Kumuanzisha mchezaji mchanga kama Clement Mzize kwenye mechi ngumu na zinazohitaji maamuzi ya wqchezaji wakubwa, ni utani! Kuwaanzisha wachezaji wasiotabirika kwenye mechi ngumu kama hiyo, bado itakuwa ni utani.

All in all, naitakia Yanga ushindi mnono.
Baada ya Mechi ya simba bacca kuwa benchi coach amemrudisha Kwenye kuanza Mechi zote na rivers Hata na singida , nafikiri Aliona mapungufu na akayafanyia kazi .
Marumo wana striker wao anaitwa chivavaro Ni Hatari inabidi awe chini ya ulinzi wa bacca
 
Hemu tuma application yanga uwe kocha, maana kwa huu uzoefu wako tunaweza jiunga ligi kuu ya Ulaya
 
Baada ya Mechi ya simba bacca kuwa benchi coach amemrudisha Kwenye kuanza Mechi zote na rivers Hata na singida , nafikiri Aliona mapungufu na akayafanyia kazi .
Marumo wana striker wao anaitwa chivavaro Ni Hatari inabidi awe chini ya ulinzi wa bacca
Yaani ikimpendeza kwenye hiyo mechi ya keshokutwa, afanye vile vile. Bacca na Mwamnyeto waanze katikati, Job aende 2 na Kibwana Shomari acheze 3, ili kuongeza kasi ya mchezo.

Halafu katikati ajaze viungo wengi! Na mbele wacheze wachezaji wenye uwezo wa kufunga. Siyo Clement Mzize, anayepata nafasi 10, na kufanikiwa kufunga nafasi moja pekee.
 
Back
Top Bottom