Elections 2015 Maneno ya Nassari baada ya kushinda A-Mashariki

Elections 2015 Maneno ya Nassari baada ya kushinda A-Mashariki

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Aliikubali sana tume ya Taifa ya uchaguzi.

Alimshukuru sana msimamizi


Aliwashukuru sana jeshi la polisi


akasema amejifunza kutohamasisha vurugu badala yake ni kutekeleza ahadi za wananchi.

MadNimekuwa inspired na Kitila Mkumbo kuandika thread hii.
 
Last edited by a moderator:
..hayo yote yamewezekana kwasababu ameshinda kwa KNOCK-OUT.

..ushindi wake ungekuwa 50/50, nina hakika tume ya uchaguzi, ccm, na polisi wangemsumbua sana, na ingebidi kuhamasisha VURUGU ili apate HAKI yake na kutangazwa mshindi.

NB:

..kuna jimbo ambalo msimamizi aligoma kutoa hati ya ushindi kwa mgombea wa ukawa kwa kisingizio eti hana funguo za ofisi!!

cc Kitila Mkumbo, jingalao
 
Last edited by a moderator:
Leo hii nassari anayakana maneno yake na pongezi zake kwa NEC?
 
Mbowe hebu muulize Nassari kuhusu uzuri wa Tume ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom