..hayo yote yamewezekana kwasababu ameshinda kwa KNOCK-OUT.
..ushindi wake ungekuwa 50/50, nina hakika tume ya uchaguzi, ccm, na polisi wangemsumbua sana, na ingebidi kuhamasisha VURUGU ili apate HAKI yake na kutangazwa mshindi.
NB:
..kuna jimbo ambalo msimamizi aligoma kutoa hati ya ushindi kwa mgombea wa ukawa kwa kisingizio eti hana funguo za ofisi!!