Kuna wakati najiuliza kama kweli unajua na hata kuelewa kile unachoandika/unachoongea au ni mbwembwe zako tu. Ni elimu gani hasa unataka wananchi wapewe kuhusu Katiba mpya? Mbona unawatukana Watanzania/Watanganyika?
Mimi nadhani kwanza wananchi wote wafundishwe Kiingereza wakielewe vizuri ndio tuanze mchakato wa Katiba mpya ππ π π π
Ila tukumbuke pamoja na elimu ya ngumbaru iliyokuwepo lakini mpaka leo wapo wananchi wengi tu hawajui kusoma na kuandika !!
Maoni ya Profesa Shivji yazingatiwe. !!