Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu.
Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu, majina yetu, imani zetu na tamaduni zetu na kukumbatia vya wageni na kuita vya mababu zetu ushenzi.
Waafrika Wabantu hatujitambui na nafasi yetu katika hii Dunia
=====
Tunisia’s president, Kais Saied, has told a meeting of security officials that migrants are part of a wider campaign to change the demographic makeup of the country and make it “purely African”.