Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
HahahaKasemaje?
Kaongea mengi ila kwa kifupi wakazi wa afrika kaskazini hawapo tayari kuchangamana na waafrika wanaotoka kusini mwa jangwa la sahara.Kasemaje?
Ubaguzi ni sumu mbaya sana na una madhara makubwa sana kwa vizazi mpaka vizaziKasemaje?
Rudia kusoma alichoandika mheshimiwa RaisUnaishia kufoka tu na hata hujui Africa ina race zipi,unachojua wewe kila mtu mweusi aliye Africa ni mbatu,poor!! Watu weusi wapo wengi tofauti na wabantu unaowatangaza wewe ambao ni nilotes,cushites,khoi(bushmen)(clicking sound)
Acha kukalili kijana!!
Pole mkuu ulikimbia umande???Sasa mbona hujaweka alichosema? Mi maswala ya school bus siyajuwi!
Mbona wao wanakimbilia spain na france kila sikuKaongea mengi ila kwa kifupi wakazi wa afrika kaskazini hawapo tayari kuchangamana na waafrika wanaotoka kusini mwa jangwa la sahara.
Comoro pia ipo umoja wa kiarabu, na ipo hapo jirani na mkoa wa Lindi na Mtwara.Wale si waafrika, mipaka ya mabara imewaingiza ili ramani ya afrika iwe imetengenishwa na maji na mabara mengine. Ndio maana huwa hakuna hamasa sana timu zao zinapofika hatua za juu kwenye michuano ya kidunia tofauti na nchi za weusi. Tunisia ni nchi ya ulaya yenye unasaba na uarabu iliyopo afrika. Morocco, algeria, misri na tunisia zina nyodn sana kwa waafrika wenzao na ndiyo maana wapo kwenye umoja wa nchi za kiarabu duniani
Hapo umezunguka tu.Ukweli ni kwamba Arabs ni wabaguzi sana kwa watu weusi/waafrika weusi.Ni hilo tu hakuna kupindisha au kutaja utaifa fulani na lugha zao.Unaishia kufoka tu na hata hujui Africa ina race zipi,unachojua wewe kila mtu mweusi aliye Africa ni mbatu,poor!! Watu weusi wapo wengi tofauti na wabantu unaowatangaza wewe ambao ni nilotes,cushites,khoi(bushmen)(clicking sound)
Acha kukalili kijana!!
Mkuu kweli msomi kama mimi wa kufoka au nawakilisha mada tuijadili????Au na wewe upo brain washed na watu wa nasaba flani kuukataa ubantu wako kwa kutengeneza matabaka ya watu weusi kupitia elimu ya wakoloni?????Kasikilize alichosema waziri wa mambo ya nje wa tunisia.Unaishia kufoka tu na hata hujui Africa ina race zipi,unachojua wewe kila mtu mweusi aliye Africa ni mbatu,poor!! Watu weusi wapo wengi tofauti na wabantu unaowatangaza wewe ambao ni nilotes,cushites,khoi(bushmen)(clicking sound)
Acha kukalili kijana!!
Mkuu umesema ukweli hapaHapo umezunguka tu.Ukweli ni kwamba Arabs ni wabaguzi sana kwa watu weusi/waafrika weusi.Ni hilo tu hakuna kupindisha au kutaja utaifa fulani na lugha zao.
Yuko sahihi. Nchi ni yao wana haki ya kuamua utaratibu wao. Hapo Kenya wameandamana kuwapinga Wachina haionekani kama ubaguzi ilihali nao ni ubaguzi tu.Kaongea mengi ila kwa kifupi wakazi wa afrika kaskazini hawapo tayari kuchangamana na waafrika wanaotoka kusini mwa jangwa la sahara.
jamii za wacomoro wengi ni machotara na waarabu.Na jamii ya wasudani wengi ni wanubi amabao wamechanganyika na waarabu na wahabeshi ambao wamechanganyika na waarabu.Na hata wabantu waliopo hasa kule north darfur idadi yao ni ndogo kuliko waarabu na machotara.So ni sawa kwa comoro na north sudan kujiunga na umoja wa nchi za kiarabu.Comoro pia ipo umoja wa kiarabu, na ipo hapo jirani na mkoa wa Lindi na Mtwara.
Sudan (kabla ya kugawiwa sehemu mbili walikua) wamepakana na Kenya na pia wapo umoja wa nchi za Kiarabu.