Elections 2010 Maneno ya SYNOVATE Yatimia!

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
25
Je, mnaikumbuka hiiiiiiiiiiii?????????

 
Ili next time tuwaamini SYNOVATE ivi ya REDET ilikuwa inasemaje?
 
ACCORDING TO REDET:

JK: 71%
Slaa: 12%
 
NR: That stands for No Response (ambao hawakujibu), possibly hao ndiyo kura zao zilikwenda kujazia ile 26% ya Slaa na hizo za wengine.
 
Kweli matokeo yamepangwa baada ya kufanya wizi mkubwa.Jaji Lewis Makame ni Samuel Kivuitu wa Tanzania
 
Kura za wizi zinafahamika. Mawasiliano ya Salva Rweyemamu na Synnovate yanathibitisha kuwa ule ulikuwa ni utafiti wa kupanga huku Mhaini Makame na Kiravu wakitumika kuhakikisha Kikwete anashinda kwa kiwango hicho. Aibu mbona aibu!
 
Sasa nimeamini Tshs 50bn ukubwa wake....sijui 2005 walitumia ngapi kupata 80%...nadhani Tshs 155bn
 
wamemwibia Slaa mpk amebaki na asilimia 26 kutoka 60+!
 
MIMI NAONA WATU HAWAKUTAKA SLAA ASHINDE BECAUSE INGEKUA KWELI WANATAKA KUPATA USHINDI WANGE DO SOMETHING!!! KWA MFANO, PUBLIC DEMONSRATION. MIMI NIKO FOR CHANGE NA SLAA NDIO CHANGE INAYOTAKIWA. LAKINI KUKAA OFISINI KUTYPE TU KWA KWELI ATUKUMSAIDIA KIVILE. JUST SAYING...:frown:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…