ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
9. Kukafua - kupiga na mti fungu la mazao yaliyokauka yakiwa kwenye mashina yake, mfano; maharage, ufuta, mpunga, nk. Huenda ni neno la kiswahili sanifu.1. Nhonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua
7. Manda-wali
8. Mweche(ukwale)-hamu
Mfyele マフラーmwanamke aliejifungua.1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua
7. Manda-wali
8. Mweche(ukwale)-hamu
Hii naijuaKanda ya ziwa ukisikia "naenda kuhemea" , maana yake anaenda kununua nahitaji ya nyumbani.
Kuhemwa ni kushangazwa kiongozi1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua
7. Manda-wali
8. Mweche(ukwale)-hamu
Hili neno lilinichanganya sana nyakati za mwanzo kulisikia "kuhemea"Kanda ya ziwa ukisikia "naenda kuhemea" , maana yake anaenda kununua nahitaji ya nyumbani.
Vipiii Somoobaaaaaaah😳
Tutunge sentensi kwa maneno hayo ya kusini sasa.1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6. Kuhemwa-kunyeshewa mvua
7. Manda-wali
8. Mweche(ukwale)-hamu
2. Uke - inyo1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa