Maneno yanayoumiza watu wanapowaaga Marehemu

Maneno yanayoumiza watu wanapowaaga Marehemu

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nimekumbuka tu baadhi ya maneno ya mwisho kwa Wapendwa wetu, mengine nimeyapata mtandaoni!

1. Mama kwanini umeniacha?
2. Nitawaambiaje Watoto watakapouliza Mama yuko wapi?
3. Ulisema nije tuongee, mbona umeondoka?
4. Amka nikuage mara mwisho.
5. Baba, ungeniambia mapema kuwa unaondoka!
6. Si ungesubiri Ndoa yangu ifanyike kwanza?
7. Baba nani atanilipia ada Tena?

Let us live since we Must Die (Memento Mori)
 
Back
Top Bottom