Maneno yapi nitumie kuomba gemu(kipochi manyoya)

huwa napata slope uyu wa sahizi anajifanya mstaarabu
Slope kwa maana ipi yani huwa wao ndo wanakwambia.

Nikijuacho tu ni kuwa huwa atutamkiani. Ni automatic tu mambo huenda yenyewe. Either aje gheto au ukichukua chumba anajua kipi kinafuata.
 
Slope kwa maana ipi yani huwa wao ndo wanakwambia.

Nikijuacho tu ni kuwa huwa atutamkiani. Ni automatic tu mambo huenda yenyewe. Either aje gheto au ukichukua chumba anajua kipi kinafuata.
slope yaani wananiwahi kutaka mashine uyu wa leo anajifanya haelewi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha eti kama ni mtu wa hovyo hovyo.[emoji16] [emoji16] [emoji16] .
 
Babu yangu alinifundishaga namna ya kutongoza enzi zao hizo. Alisema zamani mwanaume alikuwa hamtazami usoni au kutabasamu mbele ya mwanamke asiyekuwa wa kwake. Ukimtazama tu na kutabasamu mwanamke anafahamu tayari kitakachofuata. Na yeye akitabasamu unamwambia " kwa mzungu kuna merikeb nipe niipande buana", ....itaendelea...
 
duuh huyu nae ni mwanaume....mamaeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…