Maneno yapi sahihi hapa?

Maneno yapi sahihi hapa?

Onesha, asili ona; kuona kwa kutumia macho au kifaa cha kusaidia macho kuona.

Onyesha, asili onya; toa onyo, kutoa tahadhari kwa kutumia matamshi, maandishi, alama au ishara.

Vyema na vema ni neno moja, lahaja tofauti.
 
Onyesha,onesha,vyema,vema
Ukitaka usahihi wa neno lolote la kiswahili kwanza kabisa ujue mzizi wa neno, utakwenda vizuri sana
 
Back
Top Bottom