machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Onesha - machoOnyesha,onesha,vyema,vema
Umepata,Onesha, asili ona; kuona kwa kutumia macho au kifaa cha kusaidia macho kuona.
Onyesha, asili onya; toa onyo, kutoa tahadhari kwa kutumia matamshi, maandishi, alama au ishara.
Vyema na vema ni neno moja, lahaja tofauti.
Chengine ni lafudhi ya baadhi wapemba huwa hawawezi tamka neno kingineNyingine_kingine_chengine?
MfanoNyingine_kingine_chengine?
Viambishi vya kwenye neno vinatoa taswira nzima ya neno linapotumika, mfanoChengine ni lafudhi ya baadhi wapemba huwa hawawezi tamka neno kingine