Manesi nao wanatutega mahospitalini...!

Jamani hiyo ni sehemu ya tiba; si umesema mwenyewe hata maumivu yaliisha!. Ungekuta amenuna ungetoka na maumivu zaidi na ungesemahosp. haifai.
 




Hili nalo neno...................lol...
 
Tusiangalie upende mmoja tuu, hebu tuangalia upande wa wagonjwa wenyewe, kwanza naweza sema nimesha wahi patwa na tatizo hilo la ma nurse kuwa wakali na kuonyesha hasira moja kwa moja kwangu lakini tatizo hilo huisha si chini ya dakika moja na bila ya ku toa chochote, unadhani kwanini? . jibu ni kumuoneysha upende nurse na kumjali hapo tuu ndio dawa pekee, Wagonjwa wengi wanakua wakorofi na teari wanakua wamesha jijengea manesi ni katili ,kitu ambacho jina leta uhasama kati ya mhgonjwa na nesi, kumbuka manesi wana fanya kazi kwnye mazingira duni na magumu ,lazima iwasumbue na wewe mgonjwa tambua hilo jaribu kuleta ushirikiano.
 
Nimetoka kwenye hospitali moja for CT Scan..
Nikaambiwa niingie ktk chumba kimoja hivi kwa ajili ya kupimwa..akaingia nesi mmoja yani nashkuru nimetoka salama kwakweli na hata yale maumivu niliyokua nikiskia yamepotea kabisa! mwe..hata kwa wagonjwa

Nahisi nesi alilijua tatizo lako na akalifanyia kazi
Vizuri sasa si unaona maumivu yamekwisha. Au hukutaka yaishe?
 
We ChweChwe mbona unavituko hivyo, umeshajua jina la hosp lakini?

Bado cjajua! mi ht nikipata no. za huyo nesi itakua bomba zaidi mana ataenda kunifanyia scan y kifua nyumban kwake.
 
Mi naumwa jamani nielekezeni hapo kwa uyo mdada nesi
 
Hongera kama ulitoka bila kubadili mwenendo ni vizuri.

Wako kazini wewe ndiye unateseka.
 
yaani mpaka uvulishwe nguo? hao manesi hawakuwa na kazi za kufanya? mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…