Lakini ndiyo wanaookoa maisha ya mama na dada zetu.ndiyo wenye moyo wa kushika uchafu wote wa wagonjwa.hata wewe ukienda ukalazwa hospitali mtu utakaye muona mara kwa mara ni nesi.hata huyo mwenye matako ambayo hayakupakwa mafuta alichomwa sindano na huyo huyo nesi.hebu tuweze kujiongeza.mimi siyo nesi ila kazi ya unesi ni ya kujitolea kiasi flan hivi.kwa sababu wagonjwa wengi ni wakolofi sana hasa siku hizi tunapoambiwa serikali imeboresha huduma za afya na ukifika hospitali hakuna hata groves za kudakia mtoto mama anapojifungua.wanazushiwa wameuza wakati serikali haijapeleka.
Dharau zako ni za kupitiliza.waliofeli kuanzia darasa la saba ni wengi sana.hata wewe pengine ulifeli darasa la saba hata formu four uliapata credit za superglue lakini uliendelea mbele.na sasa unalitumikia taifa ndivyo ilivyo kwa nesi, nae alisomea huo unesi.unesi ni taaluma.