Manesi wana dharau sana.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
HAKUNA watumishi wa umma wenye dharau kama baadhi ya manesi kwenye Dispensary ya mtaani kwetu............ Yaani kuna nesi nimevuwa suruali anidunge sindano THEN ananiuliza HAYA MATAKO ULIPAKA MAFUTA LINI??? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Nilikosa jibu. [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Manesi wana Elimu Ndogo Boss, Baada ya Kufail Fprm four wakakimbilia Huko sasa usishangae wakikupunguzia stress!
 
Manesi wana Elimu Ndogo Boss, Baada ya Kufail Fprm four wakakimbilia Huko sasa usishangae wakikupunguzia stress!
The mason, mara mwalimu ana elimu ndogo, mara nesi ana elimu ndogo. Mamako kliniki alifanyia mbinguni ukasoma ahera? Kuwa mstaarabu, kosa la mmoja lisiwe la wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hakuna watumishi wepesi kugegedwa km manesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemwambia kuwa hujifikii matakoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The mason, mara mwalimu ana elimu ndogo, mara nesi ana elimu ndogo. Mamako kliniki alifanyia mbinguni ukasoma ahera? Kuwa mstaarabu, kosa la mmoja lisiwe la wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msiukatae ukweli Manesi wengi ni Form four Faliers! na ndo maana wana Harsh Treatment!
 
Manesi wana Elimu Ndogo Boss, Baada ya Kufail Fprm four wakakimbilia Huko sasa usishangae wakikupunguzia stress!
Lakini ndiyo wanaookoa maisha ya mama na dada zetu.ndiyo wenye moyo wa kushika uchafu wote wa wagonjwa.hata wewe ukienda ukalazwa hospitali mtu utakaye muona mara kwa mara ni nesi.hata huyo mwenye matako ambayo hayakupakwa mafuta alichomwa sindano na huyo huyo nesi.hebu tuweze kujiongeza.mimi siyo nesi ila kazi ya unesi ni ya kujitolea kiasi flan hivi.kwa sababu wagonjwa wengi ni wakolofi sana hasa siku hizi tunapoambiwa serikali imeboresha huduma za afya na ukifika hospitali hakuna hata groves za kudakia mtoto mama anapojifungua.wanazushiwa wameuza wakati serikali haijapeleka.

Dharau zako ni za kupitiliza.waliofeli kuanzia darasa la saba ni wengi sana.hata wewe pengine ulifeli darasa la saba hata formu four uliapata credit za superglue lakini uliendelea mbele.na sasa unalitumikia taifa ndivyo ilivyo kwa nesi, nae alisomea huo unesi.unesi ni taaluma.
 
Ni kweli Mkuu ila tengua Hio kauli...sijawahi kuwa kilaza darasani..sijawahi kukosa division One!......hadi kwenye life mimi ni mtata....adi utafutaji wa life natishaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…