[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila cha moto alikiona...Ni normal hawezi hata kusema alipigwa vibao kila akilitamka lile tukio anataja pistol.
January akasiliba kabisa mlimbwende akaishia kulala selo, unaambiwa Kinje kusikia Mange Kimambi yuko Oster bay Police hakuamini, alikwenda kuhakikisha kwa macho yake.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila cha moto alikiona...
akaenda polisi nsembo akatoka hamna kesi wala nini!
Kama mange dishi limeyumba basi wewe dishi limeanguka kabisa sijawahi ona comment yako yenye maanahahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
Mume aliyekuwa amemuoa pia analifahamu hilo, halina mjadala.Huyo mambe kimangi hana akili.nadhani anahitaji kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa wa magonjwa ya akili
Zimeyumba hazijafikia watu wa ccm....bora mange dish limeyumba ila nyie ccm makarai yametoboka tobokahahahah Mimi nakushangaa unavyo mshangaa Mange wakati unajua fika dish limeyumba.
Smart thinking mkuuHuyu madame huku tunakoelekea anaweza kuanzisha Chama chake na naomba asiwe na mawazo hayo, maana atasepa na kijiji kabiaaa
√√mtu gani hueleweki kama sigara kalii, na pia sapoti watu wanakupa
* why should be scared for all these scandal though she win support from the same crowd* [emoji15] [emoji15]
atakuwa kama yule wa ACT , alisha win group of people akaamua kuanzisha chama chakee [emoji13]Smart thinking mkuu
Ndo.ujue na sisi watanzania ni watu wa ajabu
Kuna watu wanamuabudu kabisa yaan huwaambii kitu kuhusu mange
Mange ana akili kuliko wewe hapo.Huyo mambe kimangi hana akili.nadhani anahitaji kufanyiwa uchunguzi na madaktari bingwa wa magonjwa ya akili
Wataje..Smart thinking mkuu
Ndo.ujue na sisi watanzania ni watu wa ajabu
Kuna watu wanamuabudu kabisa yaan huwaambii kitu kuhusu mange
Au wewe ni mange??Kama mange dishi limeyumba basi wewe dishi limeanguka kabisa sijawahi ona comment yako yenye maana
Kumuelewa mange kuna hitaji akili ya ziada kidogo na pia uwe ni mfuatiliaji sana wa ligi kuu ZA Ulaya.
Huyu kaadhirika na tabia za wenzetu weupe hana uvumilivu fanya mzuri mia kosea moja kukutoa
tizama jinsi makocha hufukuzwa kwa fedhea ilihali wiki iliyo pita tuu alisifiiwa haswa kwa mafanikio
kwa kifupi naona ni mtu aliye open mpaka kupitiliza yani simnafiki na hana subira
Ngoja wanaume tumsaidie kutunza mke huku yeye akiendelea kunyea debe.Kumbe jamaa ameshariport Central tayari, do huyu bwana alimpiga Mange vibao pale Dar Free Market mchana kweupe, katika watu ambao Mange hatawasahau ni Abdul Nsembo. Sasa hivi naona atakua anajiburudisha na zile green tea detox alizokua anauziuza.
mkuu mbona unapata kwikwi ....au unadhani tuko kule instagramKama mange dishi limeyumba basi wewe dishi limeanguka kabisa sijawahi ona comment yako yenye maana