Mange amshambulia Lulu

Nisaidie vielelezo vya kusema lulu anapesa kuliko mange koz mange yeye aonesh what she owns and assets alizonazo kama lulu anavofanya ila najua anahela maana ukifanya money interchange anazomiliki lazma kibongo bongo ziwe nyingi
Hivi unamzungumzia Mange huyu anayeomba Watanzania wamchangie kwa kua kapewa talaka na hana kazi au unamzungumizia Mange yupi mwenye pesa??.... mwenye pesa anashinda mitandaoni kutukana watu hahahaha tena anaumia sana kwa taarifa yako anatamani aje Tz aendelee kujiuza angalau huku anajulikana wanampa dau kubwa kuliko huko kwa wazungu hawamjui ila ndio kwisha habari yake. lol
 
Ndugu na marafiki mliye karibu na Mange, tafadhali jamani mwambieni mwenzenu apambane na maisha yake yanayomuhusu kabla hajachanganikiwa.....mzungu kamkimbia atafute kibabu kingine ka kizungu akilambe koni na kutulia naye.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yupo humu anasoma.
 
Mange ni bigmind kama mimi despite hiyo mitusi, ila ni kati ya wanawake wenye akili kubwa sana..!

bigmind ,
Huyo mwanamke naweza sema kuwa ana akili sana, kwa kuweza kuwasoma watanzania wengi na kuelewa kuwa wanapenda udaku, matusi, kejeli, umbea na kila aina ya ushilawadu ndipo alipokuja na hiyo style yake ya udaku.

Ila kama watanzania wangekuwa very smart and great thinkers huyo mange hana akili yoyote.

Ila kwa sasa, mange seems to be a hero due to poor foundations in our society. As a society we have no values, norms and taboos which are honoured by all members of the society.
 
subiri mashambulizi toka team "mange kasema wewe unabisha nini" a.k.a nyumbu wa BAVICHA
 
ila ka Lulu kameuwa afu kanatoka kanajiachia kama vile hakana kesi hiyo inatia uchungu ndugu
 
Tena eda ya kunyoa upara hakuna kutabasamu wala kuingia insta
Mtanyoka tu usanii gani huo mtoto mdogo anakuwa malaya, inamfaa akajifunze heshima na utu lupango. Showoff mpk kwenye kesi ya mauaji, japo naomba majaji wampe kifungo cga nje miezi miwili.
 

We mama ako anajiuza kwa watu gani kama sio Buguruni? Peleka huko lepwete lako ungejiamini ungeweka jina lako original, sura kama pinda
 
Chocochanel nawewe unakuwaga hutabiriki mda mwingine, we si IG naonaga unamdiss Mange iweje leo huku JF unampa sapoti?


Au chocochanel unagombea kidume na lulu?

Mmmmmh unaota ndoto ya wapi kwa upupwu uliouandika?
 
Mange katoboa siri Lulu hapana bakwa anatbia mbaya Malaya ni double standard!
 
Sa @culturegal unanichamba au unanipa fact maana hlo neno kwa taalifa yako sijalielewa
 
 
Hivi wewe unaamini kila anachosema?
Umesahau kuwa alisema ray kigosi ni suspect number moja kwenye kifo cha kanumba na kuwa info kapenyezewa na polisi flani?
Kumbe yalikuwa matango pori..
Dada ni muongo sana yule alaf msichana aliemzidi uzur na fedha lazima achukie ana chuki mbaya sana kwakweli
 
Dada ni muongo sana yule alaf msichana aliemzidi uzur na fedha lazima achukie ana chuki mbaya sana kwakweli
Ana stori nyingi za kutunga na anajua kwakuwa watu wanamuamini watakubari.
Bora tu abaki na habari za siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…