Mange amshambulia Lulu

Naona unatangaza biashara yako hapa shost jimyy a.k.a aunt jimmy
Unawaza tigo tuu si ukaishi mombasa kama unaona tz unabanwa, starehe ni yako biashara pia ni yako, tutakununulia nepi ukianza kutoa ki. N. Y. E. S. I
 
Natamani apite hapa asome ushauri wako. Labda itamsaidia.
 
Sawa
Nitakutafuta mkuu ama ww sio wa fani hii?
 
Bora umerudi mkuu.jukwaa limepooza maana hamna ubuyu mpya. Usijali watakaokubeza jua ni silent followers wako.
Jamani nimerudi, nafurahi kuona nakumbukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…